Adjectives and M/Wa nouns

QuestionAnswer
a good child
mtoto mzuri
good children
watoto wazuri
a bad child
mtoto mbaya
bad children
watoto wabaya
bad cooks
Wapishi wabaya
a good farmer
Mkulima mzuri
bad farmers
Wakulima wabaya
a tall traveler
msafiri mrefu
an honest chef
mpishi mwaminifu
a faithful person
mtu mwaminifu
trustworthy people
watu waaminifu
gentle students
wanafunzi wapole
a gentle person
mtu mpole
gentle teachers
Walimu wapole
heavy farmers
Wakulima wazito
bad waiters
wahudumu wabaya
a young nurse
Muuguzi mdogo
a smart engineer
mhandisi mwerevu
smart students
wanafunzi werevu
slim girls
wasichana wembamba
adults (whole people)
watu wazima
smart women
wanawake werevu
a skinny student
Mwanafunzi mwembamba
a dirty kid
mtoto mchafu
a heavy chicken
Kuku mzito
a big thief
mwizi mkubwa
Big thieves
Wezi wakubwa
The child is light.
Mtoto ni mwepesi.