| to ever (have/do) /venture /undertake | kuwahi |
| did he ever... | aliwahi |
| I have never.. / I never did | Sijawahi |
| I never went | Sijawahi kwenda |
| did he ever go /once he went | aliwahi kwenda |
| he never had /did | hakuwahi |
| he never was | hakuwahi kuwa |
| wife | mke |
| to have a wife | kuwa na mke |
| He never had a wife. | Hakuwahi kuwa na mke. |
| he lived | aliishi |
| in | katika |
| house | nyumba |
| in a house | katika nyumba |
| and he lived in a house | na aliishi katika nyumba |
| big | kubwa |
| a big house | nyumba kubwa |
| He never had a wife and lived in a big house. | Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa. |
| very /much /excessive | sana |
| very big | kubwa sana |
| a very big house | nyumba kubwa sana |
| He lived in a very big house. | Aliishi katika nyumba kubwa sana. |
| house keeper | mfanyikazi wa nyumba |
| maids | mjakazi |
| to do | kufanya |
| I do | ninafanya |
| work | kazi |
| to work | kufanya kazi |
| three | -tatu |
| three maidservants | mjakazi watatu |
| a housekeeper and three maidservants | mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu |
| He lived together with a housekeeper and three maidservants. | Aliishi na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu |
| He lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants. | Aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu. |
| He never had a wife and lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants. | Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu. |
| to be called | kuitwa |
| she is called | anaitwa |
| who/ which is called | anayeitwa |
| mrs | bi |
| Mrs Macready | Bi Macridie |
| a housekeeper who is called Mrs. Macready | mfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie |
| He never had a wife and lived in a big house together with a housekeeper called Mrs Macready and three maidservants - Ivy, Margaret and Betty | Hakuwahi kuwa na mke, na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie na mjakazi watatu - Ivy, Margaret na Betty |
| but | lakini |
| to be involved | kuhusika |
| they were not involved | hawakuhusika |
| but they were not involved | lakini hawakuhusika |
| but they were almost not involved | lakini karibu hawakuhusika |
| story /fairytale | hadithi |
| our story | hadithi yetu |
| but they were almost not involved in our story | lakini karibu hawakuhusika hadithi yetu |