The lion, the witch and the wardrobe - Swahili 4 - Chapter 1-c

QuestionAnswer
to sendkupeleka
to be sentkupelekwa
they were sentwalipelekwa
to /for /bykwa
old manmzee
to an old man/elderkwa mzee
they were sent to an old manwalipelekwa kwa mzee
professorprofesa
an old man and professormzee na profesa
whoambaye
to live /existkuishi
he wasalikuwa
he was livingalikuwa akiishi
center / middle /in the middlekatikati
in the middle ofkatikati mwa
in the middle of Englandkatikati mwa England
He was living in the middle of England.Alikuwa akiishi katikati mwa England.
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England.Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England,
tenkumi
mile(s)maili
ten milesmaili kumi
fromkutoka
ten miles frommaili kumi kutoka
post officeofisi ya posta
close /almostkaribu
the closest post officeofisi ya posta ya karibu
ten miles from the nearest post officemaili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England, ten miles from the closest post office.Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England, maili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu. .