| chapter | sura |
| first | kwanza |
| first chapter | sura ya kwanza |
| There were | kulikuwa na |
| child | mtoto |
| children | watoto |
| There were children | kulikuwa na watoto |
| four | nne |
| four children | watoto wanne |
| There were four children | Kulikuwa na watoto wanne |
| the world /the universe | ulimwengu |
| in the world | ulimwenguni |
| There were four children in the world. | Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni |
| name | jina |
| names | majina |
| their names | majina yao |
| their names were | majina yao yalikuwa |
| Their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy. | Majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy. |
| There were four children in the world, their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy. | Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni, majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy. |