Usages of kuhakikisha
Mteja wetu mkubwa atafika ofisini saa nne; hakikisha kahawa ipo tayari.
Our big customer will arrive at the office at ten; make sure the coffee is ready.
Ni muhimu kuhakikisha mlango umefungwa kabla ya kulala.
It is important to ensure the door is closed before going to sleep.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.