Learn Hardcore Swahili: Mama alimwambia Rahma, “Hongera kwa kuandika insha nzuri sana.” - Mother told Rahma, “Congratulations on writing a very good essay.”