The lion, the witch and the wardrobe - Swahili

QuestionAnswer
a big house
nyumba kubwa
a grey beard
ndevu za kijivu
a grey disheveled beard close to his eyes
ndevu za kijivu zilizofadhaika karibu na macho yake
a housekeeper and three maidservants
mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu
a housekeeper who is called Mrs. Macready
mfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie
a very big house
nyumba kubwa sana
about whay happened to them /about their experiences
juu ya yaliyowapata wao
air raids /air strikes /plane crash
shambulio la ndege
an old man and professor
mzee na profesa
and
na
and he lived in a house
na aliishi katika nyumba
attack /assault
shambulio
beard
ndevu
big
kubwa
bird /airplane
ndege
book
kitabu
but
lakini
but they were almost not involved
lakini karibu hawakuhusika
but they were almost not involved in our story
lakini karibu hawakuhusika hadithi yetu
but they were not involved
lakini hawakuhusika
center / middle /in the middle
katikati
chapter
sura
child
mtoto
children
watoto
close /almost
karibu
close to
karibu na
close to his eyes
karibu na macho yake
did he ever go /once he went
aliwahi kwenda
did he ever...
aliwahi
during
wakati wa
during the war
wakati wa vita
eyes
macho
first
kwanza
first chapter
sura ya kwanza
four
nne
four children
watoto wanne
from
kutoka
grey
kijivu
grey hair
nywele za kijivu
hair
nywele
he lived
aliishi
He lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants.
Aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu.
He lived in a very big house.
Aliishi katika nyumba kubwa sana.
He lived together with a housekeeper and three maidservants.
Aliishi na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu
he never had /did
hakuwahi
He never had a wife and lived in a big house together with a housekeeper called Mrs Macready and three maidservants - Ivy, Margaret and Betty
Hakuwahi kuwa na mke, na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie na mjakazi watatu - Ivy, Margaret na Betty
He never had a wife and lived in a big house.
Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa.
He never had a wife and lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants.
Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu.
He never had a wife.
Hakuwahi kuwa na mke.
he never was
hakuwahi kuwa
he was
alikuwa
he was living
alikuwa akiishi
He was living in the middle of England.
Alikuwa akiishi katikati mwa England.
his eyes
macho yake
house
nyumba
house keeper
mfanyikazi wa nyumba
I do
ninafanya
I don't find /I don't get
Sipati
I find / get
Ninapata
I have never.. / I never did
Sijawahi
I narrate
Ninasimulia
I never went
Sijawahi kwenda
I was confused / I was troubled
Nilifadhaika
in
katika
in the world
ulimwenguni
in a house
katika nyumba
in order to /so that
ili
in the middle of
katikati mwa
in the middle of England
katikati mwa England
last night (the night which (-o) passed,)
usiku uliopita
last week (the week which (yo) passed)
wiki iliyopita
lion
simba
maids
mjakazi
mile(s)
maili
mrs
bi
Mrs Macready
Bi Macridie
name
jina
names
majina
night
usiku
old man
mzee
our story
hadithi yetu
past tense infix
- li -
Peter narrates
Peter anasimulia
post office
ofisi ya posta
professor
profesa
she is called
anaitwa
so that they should not find/get trouble
ili wasipate shida
so that they should not find/get trouble of air raids.
ili wasipate shida ya shambulio la ndege.
story /fairytale
hadithi
ten
kumi
ten miles
maili kumi
ten miles from
maili kumi kutoka
ten miles from the nearest post office
maili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu
the book narrates
kitabu kinasimulia
the closest post office
ofisi ya posta ya karibu
the grey hair was disheveled
nywele za kijivu zilifadhaika
the grey hair which was disheveled
nywele za kijivu zilizofadhaika
the grey hair which was disheveled
nywele za kijivu zilizofadhaika
the lion the the witch and the wardrobe
simba mchawi na kabati
The professor was an old man with grey hair which was disheveled and a grey disheveled beard close to his eyes.
Profesa alikuwa mzee na nywele za kijivu zilizofadhaika na ndevu za kijivu zilizofadhaika karibu na macho yake.
The professor was old
Profesa alikuwa mzee
The professor was old with grey hair
Profesa alikuwa mzee na nywele za kijivu
the world /the universe
ulimwengu
their names
majina yao
their names were
majina yao yalikuwa
Their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy.
Majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy.
There were
kulikuwa na
There were children
kulikuwa na watoto
There were four children
Kulikuwa na watoto wanne
There were four children in the world, their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy.
Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni, majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy.
There were four children in the world.
Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni
they find /get
wanapata
they passed
walipita
they should not find /get
wasipate
they should not find/get trouble
wasipate shida
they were not involved
hawakuhusika
they were released / discharged
walitolewa
they were sent
walipelekwa
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England, ten miles from the closest post office.
Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England, maili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu. .
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England.
Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England,
they were sent to an old man
walipelekwa kwa mzee
this
hiki
this book
kitabu hiki
This book narrates
kitabu hiki kinasimulia
This book tells of their experiences during the war, when they were released from London so that they should not get the problem of air raids.
Kitabu hiki kinasimulia juu ya yaliyowapata wakati wa vita, wakati walitolewa London ili wasipate shida ya shambulio la ndege.
three
-tatu
three maidservants
mjakazi watatu
time /when
wakati
to /for /by
kwa
to an old man/elder
kwa mzee
to be called
kuitwa
to be confused /to be troubled
kufadhaika
to be involved
kuhusika
to be released /to be discharged /to be given up
kutolewa
to be sent
kupelekwa
to do
kufanya
to ever (have/do) /venture /undertake
kuwahi
to find/ get/gain/acquire
kupata
to have a wife
kuwa na mke
to live /exist
kuishi
to narrate /tell a story
kusimulia
to pass
kupita
to send
kupeleka
to work
kufanya kazi
trouble
shida
upon /about
juu ya
very /much /excessive
sana
very big
kubwa sana
war
vita
wardrobe (original translation 'wadi' which seems not a common word)
kabati
week
wiki
what happened to them
yaliyowapata wao
when they were discharged
wakati walitolewa
which were frustrated / disheveled
zilizofadhaika
who
ambaye
who/ which is called
anayeitwa
wife
mke
witch
mchawi
work
kazi